Ifahamu Drone, CAMERA INAYOPAA km 5 JUU ANGANI

Ifahamu Drone, CAMERA INAYOPAA km 5 JUU ANGANI

kukua kwa teknolojia kumezidi kurahisisha mambo, leo tunakutana na mtaalamu wa kurusha Drone. Kifaa chenye uwezo wa kukupa picha yenye ubora wa 4k kwa umbali usiopungua kilometa tano kila upande.

18 Comments

 1. Charles Zakayo on October 10, 2019 at 12:13 am

  Wanauza WAP nipo dom

 2. MC Yuda SICQO on October 10, 2019 at 12:13 am

  kizuri Sana nazijua,,, picha zake Kari sanaaa

 3. BARO TV ONLINE OFFICIAL Rama baro on October 10, 2019 at 12:20 am

  muwe mnaweka contact ili kuruhusu fulsa kwa watu kipindi poa sana

 4. Frank Tzee on October 10, 2019 at 12:20 am

  Bei? Gani

 5. MC Yuda SICQO on October 10, 2019 at 12:21 am

  kina uzweje hikii

 6. Mr Wales on October 10, 2019 at 12:22 am

  Nicheki whatsapp 0620703068

 7. Anthony Kasigwa on October 10, 2019 at 12:29 am

  naomba nanlmba ya uyo jamaa yangu no 0752963046

 8. Yohana Maugila on October 10, 2019 at 12:36 am

  Nimeipenda

 9. Tomy Safari online on October 10, 2019 at 12:42 am

  Please naweza pata namba ya Jamaa no yangu 0755354889

 10. Brainbox Comedy on October 10, 2019 at 12:45 am

  Ivi bro naweza kupata namba ya bro

 11. King Photo G on October 10, 2019 at 12:49 am

  Nahomba namba ya uyo bro
  +27731024275 plz

 12. BARO TV ONLINE OFFICIAL Rama baro on October 10, 2019 at 12:54 am

  nilichokiona hapo kuna utofauti mkubwa sana wa Kamila ya drone na kamela ya kawaida aiseee tisha sana

 13. Emmanuel Samwel on October 10, 2019 at 12:54 am

  bei gan plz

 14. Abed Alid Massawe Abed Alid on October 10, 2019 at 12:55 am

  umetisha brother ilanilikuwa na uliza hiyo drone inauzwa shi. ngapu

 15. yusan max on October 10, 2019 at 12:58 am

  Zina patikana maeneo yp

 16. Dj Final on October 10, 2019 at 1:06 am

  ndugu mtangazaji iyo ndroni bei gani

 17. Ponsian Kahesi on October 10, 2019 at 1:07 am

  Hakika inapendeza ameni inspire bei yake sh ngapi?

 18. Iddy Hamis on October 10, 2019 at 1:07 am

  Bei yake

Leave a Comment